Orodha ya majina ya Walioitwa Kwenye Usaili NEC – INEC Shinyanga Agosti 2024. Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Shinyanga Mjini anapenda kuwataarifu waombaji wote waliomba kazi ya Waandikishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki kuwa usaili utafanyika tarehe 04 ...
Habari Times Latest Questions
Leo kutoka PSRS Utumishi, Nafasi za kazi Halmashauri ya Mji Nzega – July 2024; Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Nzega amepata kibali kipya cha ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25.06.2024 kutoka ...
Tangazo la ajira mpya PSRS, Nafasi za kazi Newala – Utumishi Julai 2024; Kufuatia Halmashauri ya Mji Newala kupata kibali cha Ajira chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024, chenye nafasi ya Dereva Daraja la II (5), Dereva wa Mitambo ...
Leo, zimetangazwa ajira mpya, Nafasi za Kazi INEC – NEC August 2024. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inateua, kwa mujibu wa kifungu cha 8 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar kwa ajili ...
Leo kutoka Utumishi (PSRS), Wametangaza Nafasi za kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti – Utumishi Julai 2024; Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, amepokea kibali cha Ajira Mpya kutoka kwa Katibu Mkuu OR – Menejimenti ya Utumishi wa ...
Leo tarehe 25/07/2024, Sekretarieti ya Ajira imetangaza nafasi za kazi iwe fursa mpya na Ajira Mpya Wilaya ya Mpimbwe – Utumishi Julai 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka ...
Orodha ya majina ya Walioitwa Kwenye Usaili NEC – INEC Ilemela Agosti 2024. Kwa madhumuni ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, na kwa kuzingatia masharti ya Kanuni ya 12 (1) (b) ya Kanuni za Uboreshaji wa Daftari ...