Leo sekretarieti ya Ajira imetangaza orodha ya majina waliofaulu na ambao hawakufaulu kwamba Matokeo Ya Usaili Msaidizi Wa Afya yapo tiari. Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wanatakiwa kwenda katika mikoa waliochagua kufanya kazi kama walivyoainisha katika barua ya maombi ya ...
Habari Times Latest Questions
Leo, Sekretarieti ya ajira PSRS wametangaza Matokeo ya Usaili wa Kuandika Bunge la Tanzania – Utumishi Agosti 2024.
Leo tarehe 23/08/2024 sekretarieti ya ajira wametangaza ajira mpya au Nafasi za Kazi Wilaya ya Tanganyika – Utumishi Agosti 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika amepokea Kibali cha Ajra mpya kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais ...
Leo, Sekretarieti ya ajira imetangaza ajira mpya au Nafasi za Kazi Manispaa ya Tabora – Utumishi Agosti 2024. Mkurugenzi wa Manispaa amepata kibali kipya cha ajira kwa ikama ya mwaka 2023/2024 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25.06.2024 kutoka ...
Leo, wametangaza ajira mpya au Nafasi za Kazi TURSACCOS LTD – Agosti 2024. TURSACCOS LTD inapenda kuwatangazia Wananchi wote, Kuwa ina Nafasi moja ya Kazi ya Mkaguzi wa Ndani. Ajira Mpya TURSACCOS LTD 1. Mkaguzi wa ndani – Nafasi 1 SIFA ...
Leo, Sekretarieti ya ajira imetangaza ajira mpya au Nafasi za Kazi Mji Kondoa – Utumishi Agosti 2024. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Mji Kondoa kuomba nafasi za ...
Leo, Orodha ya majina ya kuitwa au Walioitwa kwenye Usaili NEC – INEC Tarime 2024. Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Bunda na Mwibara anapenda kuwatangazia wananchi wote waliomba nafasi za kazi katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la ...