Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Nafasi za Kazi Wilaya ya Tunduru – Utumishi Agosti 2024
AJIRA MPYA TUNDURU AGOSTI 2024 - NAFASI ZA HALMASHAURI Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 28/08/2024 MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa :- MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNRead more
AJIRA MPYA TUNDURU AGOSTI 2024 – NAFASI ZA HALMASHAURI
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 28/08/2024
MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa :-
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI
See lessHALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU
S.L.P 275
TUNDURU
Nafasi za kazi Mji Kasulu – Utumishi Agosti 2024
AJIRA MPYA MJI KASULU AGOSTI 2024 - NAFASI ZA HALMASHAURI Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 22/08/2024 MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:- Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Mji Kasulu S.L.P 475 KASULU.
AJIRA MPYA MJI KASULU AGOSTI 2024 – NAFASI ZA HALMASHAURI
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 22/08/2024
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
Mkurugenzi Mtendaji
See lessHalmashauri ya Mji Kasulu
S.L.P 475
KASULU.
Nafasi za Kazi Wilaya ya Buhigwe – Utumishi Agosti 2024
AJIRA MPYA BUHIGWE - NAFASI ZA HALMASHAURI AGOSTI 2024 Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 28/08/2024 MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:- Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya S.L.P 443 BUHIGWE
AJIRA MPYA BUHIGWE – NAFASI ZA HALMASHAURI AGOSTI 2024
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 28/08/2024
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
Mkurugenzi Mtendaji
See lessHalmashauri ya Wilaya
S.L.P 443
BUHIGWE
Walioitwa kwenye Usaili Tume ya Utumishi Wa Mahakama JSC – PDF Agosti 2024
KUITWA KWENYE USAILI TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA JSC AGOSTI 2024 Kwa taarifa hii, wote walioomba nafasi za ajira watembelee Tovuti ya Tume ili kuona kituo cha kufanyia usaili na muda uliopangwa. Kwa wale ambao hawataona majina yao, watambue kuwa hawakupata nafasi ya kufanya usaili. Kwa maulizo zaidRead more
KUITWA KWENYE USAILI TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA JSC AGOSTI 2024
Kwa taarifa hii, wote walioomba nafasi za ajira watembelee Tovuti ya Tume ili kuona kituo cha kufanyia usaili na muda uliopangwa. Kwa wale ambao hawataona majina yao, watambue kuwa hawakupata nafasi ya kufanya usaili. Kwa maulizo zaidi piga; simu Na 0734219821 au 0738247341 na Barua pepe: maulizo.ajira@jsc.go.tz
See lessNafasi za Kazi INEC – NEC August 2024
AJIRA MPYA NEC AGOSTI 2024 Msimamizi wa Uchaguzi (Ngazi ya Mkoa au Ngazi ya Juu ya Wilaya) Majukumu: (i) Kuratibu shughuli za usajili wa Uchaguzi; (ii) Kusimamia uandikishaji wa wapiga kura na kuhakikisha taarifa zao zimeandikishwa ipasavyo katika daftari la wapiga kura; (iii) Kutoa kibali kwa MwandRead more
AJIRA MPYA NEC AGOSTI 2024
Msimamizi wa Uchaguzi (Ngazi ya Mkoa au Ngazi ya Juu ya Wilaya)
Majukumu:
(i) Kuratibu shughuli za usajili wa Uchaguzi;
(ii) Kusimamia uandikishaji wa wapiga kura na kuhakikisha taarifa zao zimeandikishwa ipasavyo katika daftari la wapiga kura;
(iii) Kutoa kibali kwa Mwandikishaji wa Uchaguzi katika Wilaya na Majimbo;
(iv) Kutekeleza taratibu zinazohusiana na Uchaguzi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni;
(v) Kusimamia utekelezaji wa taratibu za Uchaguzi kwa Maafisa Wasaidizi na Wanauchaguzi wa Wilaya/Mkoa.
Sifa za Msimamizi wa Uchaguzi:
See less(i) Awe raia wa Tanzania;
(ii) Awe Mjumbe wa Umoja;
(iii) Awe na Shahada au Stashahada ya Juu au Stashahada katika fani yoyote;
(iv) Awe na uzoefu wa kutosha wa kuweza kushughulikia kazi bila ya usimamizi wa karibu;
(v) Awe muadilifu na mkweli;
(vi) Awe na uwezo wa kutenda haki na kufuata Sheria za Uchaguzi.
Walioitwa kwenye Usaili Bunge la Tanzania PDF – Utumishi Agosti 2024
KUITWA KWENYE USAILI BUNGE LA TANZANIA - UTUMISHI (PSRS) 1. Usaili wa Mchujo utafanyika kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili. Muda na mahali ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada. 2. Kila Msailiwa anatakiwa kufika akiwa amevaa NADHIFU. 3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwRead more
KUITWA KWENYE USAILI BUNGE LA TANZANIA – UTUMISHI (PSRS)
1. Usaili wa Mchujo utafanyika kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili. Muda na mahali ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
See less2. Kila Msailiwa anatakiwa kufika akiwa amevaa NADHIFU.
3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
4. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI (ORIGINAL), kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
5. Wasailiwa watakaowasilisha (Testimonials, Provisional Results, Statement of results) hati za matokeo HAZITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
Nafasi za Kazi Wilaya ya Sumbawanga – Utumishi Agosti 2024
AJIRA MPYA SUMBAWANGA 2024 - NAFASI ZA HALMASHAURI AGOSTI Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 24 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: - Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya SuRead more
AJIRA MPYA SUMBAWANGA 2024 – NAFASI ZA HALMASHAURI AGOSTI
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 24 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: –
Mkurugenzi Mtendaji,
See lessHalmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga,
S.L.P 229,
SUMBAWANGA