Maelezo kuhusu Nafasi za kazi Manispaa ya Ilemela – Utumishi; Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela amepokea kibali cha Ajira Mpya kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kupitia barua yenye ...
Habari Times Latest Questions
Leo, Sekretarieti ya ajira PSRS wametangaza Matokeo ya Usaili wa Kuandika Bunge la Tanzania – Utumishi Agosti 2024.
Leo kutoka utumishi, Ajira mpya Nafasi za kazi Igunga; Mkurugenzi amepata kibali kipya cha ajira kwa ikama ya mwaka 2023/2024 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25.06.2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma ...
Tanzania; Leo tarehe 25/07/2024, serikali kupitia Wizara ya Elimu wametangaza nafasi za mafunzo ya ualimu wa shule za msingi. Hivyo, Huu ni Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Mafunzo ya Ualimu 2024/2025. Mwongozo huu unalenga kuwapa watumiaji maelezo kamili kuhusu ...
Leo sekretarieti ya Ajira imetangaza orodha ya majina waliofaulu na ambao hawakufaulu kwamba Matokeo Ya Usaili Msaidizi Wa Afya yapo tiari. Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wanatakiwa kwenda katika mikoa waliochagua kufanya kazi kama walivyoainisha katika barua ya maombi ya ...
Kuwajibika kwa ajili ya kusafisha na kutatua faili zinazoingia na zinazotoka za miradi mbalimbali ya kadi, kuandaa ripoti za fedha ili kuepuka hasara, na kuandaa vipimo vya kufuatilia utendaji wa kifedha wa Biashara ya Kadi. Jukumu pia linahakikisha ufuasi wa ...
Leo, Sekretarieti ya ajira wametangaza ajira mpya Nafasi za Kazi Wilaya ya Tunduru – Utumishi Agosti 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru kupitia kibali cha ajira mpya chenye kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 ...