Rasmi hizi ndio jezi mpya za Young Africans SC kwa msimu wa 2024/25. Klabu kubwa na namba moja nchi ni ikienda kutafuta Ubingwa wa 32 wa Ligi Kuu
Habari Times Latest Questions
Leo, sekretarieti ya ajira imetangaza orodha ya majina ya Walioitwa kwenye Usaili Bunge la Tanzania PDF – Utumishi Agosti 2024. Katibu wa Bunge anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi katika Utumishi wa Bunge kuwa, usaili unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe ...
Maelezo, Jinsi ya Kuomba Mkopo HESLB Bodi ya Mikopo Tanzania. Maombi yote ya mkopo yatafanyika kupitia Mfumo wa Maombi na Usimamizi wa Mikopo (OLAMS). Waombaji wote wa mikopo WANAKUMBUSHWA kutumia namba ileile ya Mtihani wa Kidato cha Nne iliyotumika wakati ...
Leo tarehe 25/07/2024, Serikali kupitia Sekretarieti ya Ajira wametangaza fursa mpya za nafasi za kazi – Ajira Mpya Wilaya ya Muleba – Utumishi Julai 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ...
Orodha ya majina ya Walioitwa Kwenye Usaili NEC – INEC Shinyanga Agosti 2024. Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Shinyanga Mjini anapenda kuwataarifu waombaji wote waliomba kazi ya Waandikishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki kuwa usaili utafanyika tarehe 04 ...
Leo kutoka PSRS Utumishi, Nafasi za kazi Halmashauri ya Mji Nzega – July 2024; Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Nzega amepata kibali kipya cha ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25.06.2024 kutoka ...