Leo kutoka Utumishi (PSRS), Pitia tangazo la ajira mpya Nafasi za kazi Mbozi – Utumishi Julai 2024; Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi amepokea kibali cha Ajira mpya kutoka kwa Katibu Mkuu OR – Utumishi chenye Kumb. Na. ...
Habari Times Latest Questions
Haya ni matangazo yaliyotangazwa na sekretarieti ya Ajira kuanzia tarehe 1 mpaka tarehe 31 Nafasi za Kazi Halmashauri Mbalimbali – Utumishi Julai 2024. Nafasi za kazi katika halmashauri mbalimbali na taasisi kutoka Utumishi wa Umma (PSRS) zinapatikana kwa waombaji wenye ...
Leo, Sekretarieti ya ajira wametangaza orodha ya majina ya kuitwa au Walioitwa Kazini Utumishi (PSRS) – Agosti 18. 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe ...
Leo sekretarieti ya ajira PSRS, Imetangaza matokeo ya usaili wa kuandika chuo kikuu cha sayansi ya teknolojia Mbeya (MUST) uliofanyika tarehe 17/09/2024. Orodha kamili ipo chini. Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na ...
Baada ya kuainisha waombaji wahitaji na kuonesha taratibu makundi ya Kozi au programu zifuatazo zenye vipaumbele zitapewa mikopo kutoka Bodi ya Mikopo Tanzania – HESLB kulingana na uwepo wa fedha. Kundi la Kwanza: Kozi katika kundi la kwanza ni: – Ualimu wa ...
Kama wewe ni mwomba ajira katika Sekretarieti ya Ajira katika OR-Utumishi wa Umma, Basi hizi ndizo Sifa za Afisa Ununuzi Katika Ajira Utumishi. Afisa Ununuzi ni mtaalamu anayehusika na mchakato wa manunuzi ndani ya serikali, shirika au kampuni. Majukumu yake ni ...
Leo kutoka BOT Wametangaza nafasi za udadhili wa masomo hivyo huu ni mwongozo Fomu ya Mapendekezo Ufahili wa Masomo Mwalimu Nyerere 2024/2025 – BOT; Fomu ya maombi ya udahili BOT Tafadhali kamilisha sehemu hii, na mpe fomu hii mtu atakayekuwa ...