Leo, Sekretarieti ya ajira wametangaza orodha ya majina ya kuitwa au Walioitwa Kazini Utumishi (PSRS) – Agosti 18. 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe ...
Habari Times Latest Questions
Leo sekretarieti ya ajira PSRS, Imetangaza matokeo ya usaili wa kuandika chuo kikuu cha sayansi ya teknolojia Mbeya (MUST) uliofanyika tarehe 17/09/2024. Orodha kamili ipo chini. Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na ...
Baada ya kuainisha waombaji wahitaji na kuonesha taratibu makundi ya Kozi au programu zifuatazo zenye vipaumbele zitapewa mikopo kutoka Bodi ya Mikopo Tanzania – HESLB kulingana na uwepo wa fedha. Kundi la Kwanza: Kozi katika kundi la kwanza ni: – Ualimu wa ...
Leo kutoka Utumishi (PSRS), Ajira mpya, Nafasi za kazi Mwanga – Utumishi Julai 2024 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga kuomba nafasi za ...
Tanzania: Ikumbukwe leo tarehe 23/07/2024 Jeshi la polisi Tanzania wametangaza orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili. Hivyo, Huu ni mwongozo muhimu kwako kwa kuzingatia Mambo ya Kuzingatia Kabla na Wakati wa Usaili wa Jeshi la Polisi 2024 – Kujitayarisha ...
Leo, Sekretarieti ya ajira imetangaza ajira mpya Nafasi za Kazi Utumishi (PSRS) – Ajira 224 Utumishi Agosti 2024. Kwa niaba ya Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI), Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI), Wakala wa Maji Safi na ...
Utaratibu wa Malipo ya Mkopo HESLB; Gharama za chakula na malazi, vitabu na viandikwa, mafunzo kwa vitendo, gharama za tafiti yatalipwa moja kwa moja kwa mwanafunzi wakati Ada ya mafunzo na mahitaji maalum ya kitivo yatalipwa moja kwa moja kwenye ...